Taarifa sahihi pekee zinaiwezesha Jamii kufanya Maamuzi sahihi, thibitisha uhalisia wa Taarifa unazopokea kabla ya kuziamini na kuzisambaza

JamiiCheck

Member
Joined
Nov 3, 2023
Posts
98
Reaction score
122
Uthibitishaji wa Taarifa ni jukumu la kila mmoja katika jamii ili kupambana na madhara ya Upotoshaji kwa kuhakikisha jamii inapata Taarifa Sahihi na kwa wakati.

Unaweza kupata maarifa zaidi kupitia Jukwaa la JamiiCheck.com ili kujua mbinu muhimu zinazokuwezesha kubaini uhalisia wa Taarifa inayokupa mashaka.
 
Ya kwangu ya kuhusu birthday ya waliozaliwa 29_02_mbona mmeifuta?!
 
Back
Top Bottom