Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Balozi siyo utumishi wa umma jiulize Slaa kateuliwa kuwa Balozi akiwa na miaka mingapi? Je alikuwa bado anaweza kuwa penshenable? Je alipata ajira ya kudumu?Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Mbona Makosa ndio haya haya sasa wangepinga nini tumia AkiliWale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Amepita umrilet wait na mnaosema magufuli ni mkabila sio kweli bali nafasi hizi hutolewa kutokana na uwezo wa mtu Dr slaa keep on nafasi hii inakustahili nadhani pia itaweka mizania sawa ya kiuongozi na kiutawala
Hilo kosa la kipindi hicho halihalalishi kosa la Sasa. Hizi sio hesabu za hasi na chanya kwamba Ukichukua hasi x hasi = chanya.Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
Ni kweli, Role model wako age imeenda ....Amepita umri
Ni kweli, Role model wako age imeenda ....
Siyo mwenzetu!!DR WILBROAD SLAA NAFASI YA UKATIBU KIONGOZI ILIMFAA SANA SANA NADHANI HAKUNA MUDA ATAITWA NAFASI HIYO
Kazi inaendeleaSisi Kazi maneno mwiko