Taarifa soko la ajira east africa

Taarifa soko la ajira east africa

Madoido

Senior Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
134
Reaction score
15
wadau tunaomba mwenye taarifa kuhusu soks la ajira afrika mashariki atujuze, maana ake hapa bongo hatuna uelewa vizuri, kwa mfano suala la raia wa nchi zingine za afrika mashariki wanaruhusiwa kufanya kazi za profesional gani pasipo kibali na kadhalika? Na sisi wabongo nchi zingine zina nafasi gani kwetu?

Nawakilisha

mdau

dar
 
Back
Top Bottom