Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
hahahha! Nyani you know I'm right.. hivi mara ya mwisho kuwasikia kina Njozi, Ponda Issa Ponda, Khalifa Khamisi kuzungumzia kashfa kwenye serikali ambazo haziwahusu Waislamu lini? Niliwakoromewa viongozi wa dini ya Kikristu nikitegemea ataibuka mtu miongoni mwa Waislamu ambaye atawakoromea viongozi wa Kiislamu. It seems I'll have to do that too.. !
Pamoja na yote mliyoongea, kumbukeni sasa hivi tunaishi katika zama za utandawazi. Mswahili wa tanzania ni sehemu ya huu utandawazi na anao utashi, haki na uhuru wa kuiga kila kinachoendelea katika kila kona ya dunia hii. Pamoja na hayo, binafsi sioni kama maandamano yataharibu nia, malengo na makusudio ya raisi bush pamoja na msafara wake hapa tanzania. Waacheni waandamane, ili mradi wasilete vuguru itakayopelekea kuhatarisha amani. Lakini, ninapendekeza wafanye maandamano mengine yakuishinikiza serikali iwapeleke mbele ya vyombo vya sheria akina mkapa,lowassa, karamagi, rostam, balali, etc. Hapo nitawapa kudos!!!
Interested Observer makala yako uliipost kule ktk Njozi..lkn ukaona ujumbe wako haujafanyiwa kazi..mwambie Invisible atume kwa members wote wa JF ktk private message zao...ili walokutuma uwaambie msg sent n delivered
Nilichokuelewa ni kuwa unataka Jamii ijue kuwa waislam wanaokataa ujio wa Bush ni fanatics...so wachukuliwe tahadhari au wachukuliwe hatua mapema..au kiufupi wadhibitiwe... Hapo umenoa subiri time ifike sio sasa...
Mzalendo na wenzako...Waislam wanaangalia maslahi yao kwanza ambayo yapo threaten na ujio wa BUSH..church hawawezi kuandamana kwani wanapata all kind of support kutoka huko US. Muslim accounts has been freezed, muslim preachers has been detained, other has been deported here in TZ, MUSLIM NGO's has been banned? who? BUSH administration...Muulizeni Mkapa how many muslim dollars has been freezed...wahuni wenzenu wa BOT wakazila? Taasis ngapi hapa Bongo za Kiislam zimefungiwa? Sumaye Kamfukuza shekhe kiislam under 24hrs arrest? Hapa watetezi wa BUSH lazima muwepo mnanufaika nae...
Hio Misaada ya futari ni danganya toto..peremende..uliza msikiti wa msasani ulikataa zawadi zake balozi wa US...
Wengi Mmeuliza humu kwanini waislam hajaandamana na issue za BOT, Buzwagi na Ufisadi mwingineo... Hili ni Jambo la kitaifa si jambo la kikundi. Muslim kama muslim hawashindwi !!! Kumbuka muslim tayari ni Victims wa siasa za Bongo. NRA ilipigwa vita kwa jili hio, leo hii chama XYZ kinapakwa matope kwa hilo la UDINI, Waislam waandamane mseme unaona...wale watu fulani tu...hapo mtakihusisha chama CYZ na maandamano hayo, na sura itabadilika...nanyi mtakaa kule waislam bwana watu wa Vurugu tu...
Kumbuka Mrema alisema waislam wana silaha..majambia...mapanga what next? masheikh wakafungwa...na wengine kufia gerezani...leo muulizeni mrema ushahid uwapi wa silaha zile...
KUMBUKENI UFISADI ni kitu ambacho kipo ktk SIASA, waislam wakiingia Front ktk maandamano sura itabadilika...OH waislam wanamchukia Mkapa bcz so n so.. Viongozi wa Upinzani wao kama wapo serious waandae maandamano..then waislam wapo ambao ni CCM na wapo ambao wapinzani watajiunga
hahahha! Nyani you know I'm right.. hivi mara ya mwisho kuwasikia kina Njozi, Ponda Issa Ponda, Khalifa Khamisi kuzungumzia kashfa kwenye serikali ambazo haziwahusu Waislamu lini? Niliwakoromewa viongozi wa dini ya Kikristu nikitegemea ataibuka mtu miongoni mwa Waislamu ambaye atawakoromea viongozi wa Kiislamu. It seems I'll have to do that too.. !
Chuma, the article I posted do not condemn muslims; it says something about a few "fanatics"; while the majority pay the price! It doest not at any definition point to any group. Think very careful, If you will identify yourself in a certain group; as a muslim or a christian; you may feel that pain (self inflicted pain); I always identify myself as a Tanzanian, and religion to me was inherited from my parents, so it becomes irrelevant! The right thing for me is that I believe in God!!
Sawa...lakini ukumbuke pia they can't march for every cause. They can't be everything to everybody...that's why in a civilised world we have interest groups....therefore, I support their right to choose whatever cause they wish to protest on.
You are absolutely right. Mimi nimependekeza. Kwa hivi, hakuna ulazima wowote wa kufuata pendekezo langu. Lakini wakumbuke na mambo mengine yanayogusa maslahi ya nchi basi. langu ni hilo tu.
Ukisha kremu kitu bwana kuelewa shida kweli, sidhani kama hawa watu wanaandamana kwa utashi wao, zaidi ya ushabiki na kukremishwa lugha wazizozielewa, sawa sera za marekani zinaumiza wengi duniani, lakini huko nyumbani tunamatatizo mengi sana ya kufanya tuandamane zidi ya hili, mfano.
1.Je wangeandamana kushinikiza balali arudishwe kijibu mashtaka, kufreeze mali ya mafisadi.
2.Wangeandamana kudai katiba mpya.
3.Wangeandamana kupinga matumizi mabaya ya serekali.
4.Wangekusanyika basi na kufanya shuguli za maendeleo
Watu wanajitafutia umaarufu wanawashawishi, then jamaa wanakata mtaa na njaa zote za mchana, du aaaaaaaaaaagh
Mwisho aliyeitisha maandamano ndio anakuwa popula wengine, anony
Interested Observer makala yako uliipost kule ktk Njozi..lkn ukaona ujumbe wako haujafanyiwa kazi..mwambie Invisible atume kwa members wote wa JF ktk private message zao...ili walokutuma uwaambie msg sent n delivered
Nilichokuelewa ni kuwa unataka Jamii ijue kuwa waislam wanaokataa ujio wa Bush ni fanatics...so wachukuliwe tahadhari au wachukuliwe hatua mapema..au kiufupi wadhibitiwe... Hapo umenoa subiri time ifike sio sasa...
Mzalendo na wenzako...Waislam wanaangalia maslahi yao kwanza ambayo yapo threaten na ujio wa BUSH..church hawawezi kuandamana kwani wanapata all kind of support kutoka huko US. Muslim accounts has been freezed, muslim preachers has been detained, other has been deported here in TZ, MUSLIM NGO's has been banned? who? BUSH administration...Muulizeni Mkapa how many muslim dollars has been freezed...wahuni wenzenu wa BOT wakazila? Taasis ngapi hapa Bongo za Kiislam zimefungiwa? Sumaye Kamfukuza shekhe kiislam under 24hrs arrest? Hapa watetezi wa BUSH lazima muwepo mnanufaika nae...
Hio Misaada ya futari ni danganya toto..peremende..uliza msikiti wa msasani ulikataa zawadi zake balozi wa US...
Wengi Mmeuliza humu kwanini waislam hajaandamana na issue za BOT, Buzwagi na Ufisadi mwingineo... Hili ni Jambo la kitaifa si jambo la kikundi. Muslim kama muslim hawashindwi !!! Kumbuka muslim tayari ni Victims wa siasa za Bongo. NRA ilipigwa vita kwa jili hio, leo hii chama XYZ kinapakwa matope kwa hilo la UDINI, Waislam waandamane mseme unaona...wale watu fulani tu...hapo mtakihusisha chama CYZ na maandamano hayo, na sura itabadilika...nanyi mtakaa kule waislam bwana watu wa Vurugu tu...
Kumbuka Mrema alisema waislam wana silaha..majambia...mapanga what next? masheikh wakafungwa...na wengine kufia gerezani...leo muulizeni mrema ushahid uwapi wa silaha zile...
KUMBUKENI UFISADI ni kitu ambacho kipo ktk SIASA, waislam wakiingia Front ktk maandamano sura itabadilika...OH waislam wanamchukia Mkapa bcz so n so.. Viongozi wa Upinzani wao kama wapo serious waandae maandamano..then waislam wapo ambao ni CCM na wapo ambao wapinzani watajiunga
Mkuu Bangu,
Naona sasa unarudi mjadala nyuma! wakubwa wanasema kuandamana ni haki yao na malengo ya maandamano pia ni haki yao.
Wao wameamua kupinga ziara ya Bush na wewe andamana kupinga BOT mwingine aandamane kupinga Buzwagi na mwingine kuachwa kwa Karamagi kwenye baraza ndio demokrasia hiyo...

Kalam=Interested Observer...Sijamziba mdomo...ndio maana nimempa uhuru awatumie watu wote ktk private msg zao...sasa wewe leo amua kila thread copy n paste ujumbe huohuo...? what does it mean? nimeona nimpe wazo la IT kuwa best way kufikisha ujumbe ampe ADMIN atume to ALL...sio posting kila thread.Chuma:
You're very wrong.
Kwanza unataka kumziba mdomo Interested Observer asitoe maoni yake kwa kumsimanga.
Two- unaingiza 'u-Us versus Them' hali ukijua kuwa sio waislamu wote walio na msimamo wako uliouonyesha kiwazi katika bandiko lako hapa.
Tafuta zaidi njia za kuwaunganisha waTanzania kuliko kuwagawanyisha katika makundi haya ya kidini.
Hata Bangu ana haki ya kuwapinga wao kuandamana kumpinga Bush. Yaani hapa manake maandamano rukhsa ili mradi hauchochei wala kusababisha ghasia. Kutoa maoni ambayo si matusi rukhsa. Kila jambo amani rukhsa.....
Unajua mambo mengine lazima tukubali kuwa tunaiga ili tusije onekana kuwa si sio wenzao. Kuandamana na kuchoma Bendera imekuwa ndo fashion. Kwa nini basi wasiandamane bila ya kuchoma bendera. Au wanaogopa kuambiwa kuwa nyie sio wenzetu hatuwapi misaada kwa sababu Bush alikuja hatukuona chochote.
Hivi kabla ya bomu pale Dar kuna mwislam yeyote aliyewahi kuwa deported? Au account yeyote kuwa frozen? Haya yote mliyataka wenyewe milipokubali kutumika.
Hizi taasisi kama zinaazishwa ili kufandhili na kufacilitate uingizwaji wa mabomu na kuplan kulipua hapa nchini,lazima zifungiwe. Kama pesa zilizokwenye Account ni kwa ajili ya kufadhili watu weknda Pakistani kujifunza namna ya kujilipua au kuingiza mabomu lazima ziwe frozen. Adui siku zote mwombee njaa. Nyie na Bush ni maadui kama unavyosema sasa yeye anahakikisha njaa ya pesa inawapata.
Tatizo pia mnashindwa kuelewa kuwa mnapokuwa na sisi wanawaona nyie Waislamu wenzie, lakini mnapokuwa na wao WAARABU WANAWAONA NYIE NI WABANTU MASKINI.SIO WAISLAMU WENZETU. Mfano 😀arfur ,Waislam weusi kule hawana thamani.
Unapokuwa na haki haina maana usitumie akili na Busara.
Hata mimi nina haki ya kupingana kimawazo na Bangu... kila kitu rukhsa!