Wakuu nimemsikia ndugu Dovutwa kapata ajali baada ya Dereva wake kujiaribu kumkwepa mwanabodaboda mmoja aliyekuwa anajilowassisha. Tuwaombee wagombea Urais.
Alitaka kwenda mvomero kufungia huko, tokana na ajali ilompata. Jamaa yangu wa karibu amecheka saaana ase, ati alivyokuwa ameshika kiuno akiugulia maumivu. Nimemwambia si vyema kumcheka.