Hiyo siyo gumzo mkuu ni taarifa tu kama zilivyo taarifa nyingine zinazotolewa BBC na siyo media zote labda uweke na nyingine ndiyo useme "media za nje"
BBC wamekuwa wakweli. Ukweli humweka mtu huru.
Hata chizi anayo ambition!Hiyo ni taarifa tu ya habari kama zingine na wameongelea "Ambition", sasa unaweza uwe na "Ambition" lkn usii-achieve. Projects nyingi tulizonazo ni "White Elephant".
tena aibu kubwaHiyo ni aibu kubwa sana kwa chadema