Taarifa ya CAF kuhusu wenye nia ya kutangaza mchezo Radioni na Live Updates

Qatif

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2014
Posts
379
Reaction score
860
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) ndo wenye haki ya matangazo ya Radio kwa hatua ya makundi na hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (CAFCC)
20230314_120741.jpg
 
Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) ndo wenye haki ya matangazo ya Radio kwa hatua ya makundi na hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (CAFCC)View attachment 2550426
Mmesoma maneno hayo "au kutoa taarifa za moja kwa moja(Live updates) wakati mchezo unaendelea...."

Mbona hii kama inaihusu pia JF. Kuna snitch humu nini? Wameona tunafaidi saana.
 
Nimejiuliza sana, kuwa je kwa wale wanatutolea live update hapa JF inakuwaje?
 
Mmesoma maneno hayo "au kutoa taarifa za moja kwa moja(Live updates) wakati mchezo unaendelea...."

Mbona hii kama inaihusu pia JF. Kuna snitch humu nini? Wameona tunafaidi saana.
"Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) ndo wenye haki ya matangazo ya Radio kwa hatua ya makundi na hatua ya mtoano Ligi ya Mabingwa (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (CAFCC)"

Kwenye hiyo taarifa haikusema kwa mitandao ya kijamii
 
Hapa umetufumbua macho
 
Ok poa
 
Back
Top Bottom