Tatizo anatumia pesa zetu sisi walipa kodi! Tufanyaje aache au kupunguza safari hizo?
Kweli ni mambo ya aibu sana.watu wanakufa njaa ,yeye anaenda Jamaica kubembea,kwanini asibembee ikulu,mbona kuna mabembea mengi tu.Rais Jakaya na mkewe Salma wakibembea hewani kutalii vivutio nchini Jamaica pamoja na Waziri wa Utalii nchini humo,Edmund Barlett (kulia) na Horace Clarke, mmiliki wa bembea hilo lipitalo meta 50 hewani umbali wa kilometa mbili.
Waough!!!! MAPUMZIKO TOSHA...
Rais Jakaya na mkewe Salma wakibembea hewani kutalii vivutio nchini Jamaica pamoja na Waziri wa Utalii nchini humo,Edmund Barlett (kulia) na Horace Clarke, mmiliki wa bembea hilo lipitalo meta 50 hewani umbali wa kilometa mbili.
Waough!!!! MAPUMZIKO TOSHA...
"Hivi karibuni tumesikia ripoti moja ikionesha kuwa katika taasisi zinazoongoza kwa kulipana 'allowances' (posho) Ikulu iko juu ya zote, sasa mojawapo ya njia za posho hizo ni hizo safari ambazo kwa kweli tija yake ni ndogo ukilinganisha na gharama tunazoingia.
Rais Jakaya na mkewe Salma wakibembea hewani kutalii vivutio nchini Jamaica pamoja na Waziri wa Utalii nchini humo,Edmund Barlett (kulia) na Horace Clarke, mmiliki wa bembea hilo lipitalo meta 50 hewani umbali wa kilometa mbili.Nadhani raisi wetu anapumzika labda kama kuna hoja nyingine
Jamani kasema tena kawaambia Mawaziri wake kuwa hawamsaidiiiii.Ndo maana anashindwa kupuumzika kwa kuwa akipumzika kila kitu kitakwenda ovyo.
HUENDA HIYO NDO SABABU INAYOMFANYA AENDE HUKU NA HUKO.