Elections 2010 Taarifa ya Habari ya ITV ya leo saa mbili usiku (mahitimisho ya kampeni)

Mwanakijiji,

Kazi kweli kweli, naona umeamua kukata sehemu ya kampeni za CCM hapo Jangwani?

Ndio tatizo la kuegemea upande mmoja....Mwanakijiji kuwa fair kwa mashabiki wa vyama vyote!
 
Robo mtakatifu ilibidi aingilie kati baada ya kuanza kupiga kampeni, badala ya kuombea amani.

Ndo mana akatamka ishu la kulazwa mahali pema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…