Ni ukweli usiopingika kuwa maendeleo ya nchi yanayegemea sana demokrasia ambayo ndani yake imo HAKI ya wananchi wote kwa wakati wote. Haki Huinua Taifa. Rais kwa hili linahitaji utashi wako ili mapendekezo haya yasiishie kwenye makabati.
Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya mh Jaji Mkuu mst Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi kuhusu utekelezaji wa mikakati na mbinu iliyoibuliwa kwenye mipango hii.
Sera ya Haki Jinai na mabadiliko ya Sheria yafanywe haraka na kupelekwa Bungeni. Tunawatakia kazi njema, tutafutilia matokeo ya tume.