Taarifa ya JWTZ kwa Umma

Status
Not open for further replies.
Line za simu kwa kila mtandao zintumia ip moja hivyo msidanganyike nakuogopa kukamatwa siyo rahisi!

Mkuu KakaKiiza kwa kuzingatia hayo maelezo yako hebu linganisha na hii scennario iliyotokea humu jf siku kadhaa zilizopita na unipe ufafanuzi ili nielewe kipi ni kipi:

Kuna mtu aliamua kujiunga jf kwa kutumia simu ya rafiki yake (ambaye pia ni member wa jf), lakini mara baada ya kufanikiwa kujiunga ile ID ya kwake pamoja na ya rafiki yake ziliunganishwa (merged) na kujikuta wanapata usumbufu hadi mmojawapo akaamua kutoa malalamiko kwa mods kule jukwaa la malalamiko. Sikumbuki kesi hiyo iliishia wapi.

Kwa mujibu wa maelezo yako inawezekana IP address ilionekana kuwa moja, hapo sikatai kwa kua ilitumika simu ileile, sasa iwapo (kwa mujibu wa maelezo yako) simu zote (kwa mfano walio mtandao wa vodacom) zinatumia IP address moja je, kwa nini watu wote wanaotumia simu humu ID zao hazijaungwa (maana kwa mods zingekua zinasomeka na IP address ya aina moja)?
 
Makanjanja tanuri lenu la uongo limevuka mipaka
 
makanjanja na viongozi wenu tanuri lenu la uongo limevuka mipaka
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…