Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
RIPKwa masikitiko makubwa nawataarifu kuhusu kifo Cha member mkongwe mwenzetu anayetumia ID ya Slave
Katika uhalisia huyu alikuwa fundi simu wilaya ya kahama na alikuwa anafahamika kwa jina maarufu la Dokta Zedi
Pia alikuwa mwenyekiti wa watu wenye uziwi hapo hapo wilaya ya kahama
Alazwe mahala pema peponi
SalamaHabari ya uzima.?
Ulienda tena hospital.?
Majibu yanasemaje.?Salama
Nilienda tena mkuu
Majibu yanasemaje.?
Uzidi kuwa mzima aisee.Ni yale yale mkuu
Japo sikupewa expire date kama mwanzo π
Uzidi kuwa mzima aisee.