Taarifa ya Kikao cha Viongozi wa Simba SC na Mohammed Dewj (M0)

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Taarifa ya Kikao cha Viongozi wa simba sc na Mohammed Dewj (M0) kuhusu mabadiliko ya mfumo toka wa sasa kwenda mfumo wa hissa utachukua miezi 6 ili wanachama wapewe elimu kuhusu faida ya mfumo huu.

Mo alisema anaipenda simba sc toka zamani hivyoo wakati zoezi hili linaendelea yeye atakuwa anaisaidia timu kama alivyofanya kipindi cha nyuma pia alisema wanachama wa zamani atawagaia hissa bure ila kwa wanachama wapya kutakuwa na utaratibu wa kununua hissa.
 
Mmemuuzia klabu yenu, ila kaeni mkijua kuwa
Baada ya misimu michache tutaona Mashabiki wakiwa wanaimba...

Tunataka! Simba yetu........... [emoji444]
Tunataka! Simba yetu........... [emoji444]
Tunataka! Simba yetu........... [emoji444]
Tunataka! Simba yetu........... [emoji444]
 
Safari imeanza. Kila akheri tuombe asijitokeze kidudu mtu!
 
Ndo imetoka hio hata wakiimba vipi, simba ndo imeshauzwa hivo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…