ahsante sana mzazi mwenzangu!Teamo,
Sawa Asante kwa taaharifa,lkn ombi tu ni vzr next time hata taaharifa ya kukutana pia itolewe atlest a day before,taharifa hii ningepanga jana leo ningeluwa na nafasi nzuri ya kujumika nanyi,yote ni vema Mungu awatie nanyi nguvu na maneno ya hekima na busara,tunajua sisi tulimpenda lkn yeye kampenda zaidi.Jioni Njema na uwakilishi mwema.
Regards
Lulu
Teamo ukajibu hivi.......Mkuu Teamo,
Inavyoonekana watu wengi hapa hatukuwa na tahaarifa hizo za msiba,n huyu akiwa kama mwenzetu na ndugu yetu wa karibu naamini anasoma haya maelezo hapa,je inawezekana tujipange ili walau na ss tujumuike ktk kumfariji mwenzetu kwa ppamoja?Kama ndio basi tupange siku maalum ili tuweze kufanya kama mila na tamaduni zetu,ni mtazamo tu lkn.
Regards
Pearl
Nami nikaunga mkono hoja...naiona point yako mkuu....!
maadam hoja iko mezani ngoja tuone wadau watasemaje
Mara Teamo akageuka hivi.Naunga mkono hoja!
Hii taarifa imekuwa kama ya dharura. Naona ni vema tungepanga siku ambayo watu wana majukumu machache, kama wikiendi hivi ili kama kawaida ya misiba ya watu wa kule migombani, kapombe kaweze kuhusika pia.
Kwa mara nyingine: RIP Baba yetu!
hoja yenu ya weekend haitawezekana kwakuwa sisi tumeshamalert js aje leo,na pia tunawashauri asprin,pearl na mtm mkubaliane na ''GHARAMA YA demokrasia'' kwamba wengi wape.wengi wenu wamekubaliana tukutane leo,lakini pia kutakuwa na nafasi zenu (kama ilivyokuwa MEMKWA) ya kumuona js kwa muda mwingine....afterall ninyi wote js ni mtu wenu wa karibu
SAMAHANI KWA KUWAKWAZA KIDOGO lakini ndio gharama ya demokrasia hiyo.....!
Pearl alitoa wazo hili
Teamo ukajibu hivi.......
Nami nikaunga mkono hoja...
Mara Teamo akageuka hivi.
Kumbe haikuwa na haja ya kujadili meza iliyo mezani kama ulivosema awali kwakuwa kumbe demokrasia ilishafanyika.....ila sikumbuki kama nilihusishwa kwenye kupiga kura zaidi ya habari hizi za ghafla.
Hata hivyo naunga mkono Hoja, wengine tutamuona siku nyingine. Naomba mumpe mkono wa Pole JS kwa niaba yangu tafadhali. Mwambieni tuko Pamoja katika wakati huu mgumu...
Mtuwakilishe vema enyi mtakaoenda. Msisahau kumpa pole JS kwa niaba yetuWakuu,
tusameheane tu kwa kuchelewa kupeana taarifa kidogo hakukuwa a nia yoyote tofauti wajameni
NI UPENDO TU
Wapendwa Katika BWANA.....!
habari zenu binafsi kwa ujumla wenu?...ni matumaini yangu kwamba Wote mnaendelea vyema na mchakato wa kuutafuta mkate wenu wa kila siku.
Kama vile wote mnajua kwamba Dada Yetu Mpendwa JS alipata msiba kwa kuondokewa na Baba Yake MZAZI MNAMO TAR 31/12/2010 Saa tano na dakika arobaini na Tano Usiku.Sisi kama marafiki wa jamiiforums tulikutana na kujadili namna ya kumpa faraja mwanachama mwenzetu kwa namna ndogo ambayo tunaweza.
Napenda kuwajulisha kwamba leo tuna kutana na Dada Yetu JS ''pale pale''.Tunatarajia kuwa nae pale kwa muda mfupi kidogo walau tumpe pole na kumfariji kwa namna nzuri itakayo mpendeza mungu
Muda ni ''Ule Ule''
Wengi wenu mliopo Dar nimewapigia simu kuwajulisha hili swala...sasa kwakuwa mimi ni binadamu mwenye mapungufu kuna uwezekano nikawa nimewasahau watu wawili watatu.Napenda kutumia jukwaa hili pendwa kurusha thread hii ili kwa yoyote ambae sijampigia simu asome na kufika bila kukosa.
Ahsanteni Sana Kwa Kusoma Tangazo hili na kunielewa
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU IBARIKI JF
R.I.P baba yetu mpendwa