Taarifa ya Kupotea: Mama Verediana Mataba (Mama Jane) amepotea tangu Januari 27, 2026, maeneo ya Kisesa Mwanza

Taarifa ya Kupotea: Mama Verediana Mataba (Mama Jane) amepotea tangu Januari 27, 2026, maeneo ya Kisesa Mwanza

Seran

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2025
Posts
36,315
Reaction score
104,500
5CE38EAF-05BF-4814-8BD6-8675342E9F69.jpeg
Tumepotelewa na Mama anayeitwa Verediana Mataba au Mama Jane siku ya tarehe 27 Januari 2026 katika maeneo ya Kisesa Mwanza.

Mama huyu ni mwenyeji wa Buhare Musoma na alikwenda Mwanza kwa ajili ya matibabu ya kupoteza kumbukumbu. Anaongea lugha ya kiswahili na kikerewe kwa ufasaha.

Kwa mara ya mwisho alionekana majira ya saa 9 mchana maeneo ya Isangijo Kitongoji cha Mairinga kata ya Bukandwe akiwa amevaa nguo ya rangi ya njano na nyeusi kama inavyoonekana kwenye picha mojawapo.

Tunaomba kwa yeyote atakayemuona atoe taarifa kwa namba 0714500740
0769990721
Au kituo chochote cha Polisi.

Tunatanguliza shukrani.

B0378D1B-54D1-4659-82EC-42363C52A6BB.jpeg
5F6AA17D-2962-434D-90A8-B83387C06932.jpeg
520E43FA-E7C5-46C5-8C52-E0BA61D9EC89.jpeg
 
Dementia haina dawa
Ni kuishi nae karibu, haya ndio maisha yake mapya
Muanze sasa kumchunga la sivyo atapotea tena
 
Back
Top Bottom