Taarifa Ya Msiba J. Njaidi

Taarifa Ya Msiba J. Njaidi

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
14645_104539999558075_100000062273228_121329_6257547_n.jpg


Aliye kuwa meneja wa zamani wa Triple A Tanzania (James Mnomba Njaidi) amefariki leo asubuhi (27 Aug 2010) uko Ireland alikokuwa akiishi. Habari zaidi tutawajulisha baadae.
 
Poleni sana wafiwa mungu alitoa na sasa ametwaa, jina lake lihimidiwe.
 
Mnomba alikuwa mtu mzuri sana, pole sana kwa familia yake, ndugu, jamaa na marafiki. Mungu Amlaze mahali pema peponi, Amin.
 
Inna Lilah wa inna ilayhi rajiun

poleni sana wafiwa
 
RIP Njaidi
Poleni ndugu jamaa na marafiki kwa msiba mzito
 
Back
Top Bottom