Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Ikiwa kweli tukufanyeje?
mnavoisingizia Chadema na Tibaijuka π π π
Melo aliwaambiaga CCM wakizuia Vyombo vya Habari watatengeza ombwe la Taarifa, kukiwa na ombwe la Taarifa vita ya taarifa inakuwa kubwa sana.