Kodjoe Borris
Member
- Jan 15, 2017
- 95
- 68
Dah siasa ikiingia vizuri kichwani ndio mawazo yanakuwa kama haya! nahisi ungesafiri kwanza na ujue dunia inavyosimamia sheria kikamilifu halafu pia uwaite wana chuki na hawana upendo kwa na watu wa mataifa mengine.Acheni maamuzi ya Kibabe kwa watu wa mataifa mengine. Mahusiano bora ni mtaji wa kibiashara na kukuza uchumi, ukimkwaza jirani nani atakuhifadhi wakati wa shida?
Sheria zinaweza kubadilishwa muda wowote, lakini upendo ukipotea chuki hutawala.
Mwambieni Sizonje kuwa uenyekiti wa Afrika Mashariki isiwe sababu ya kufanya ubabe kwa wengine.
Mkibanwa na utawala mbovu mnakimbilia kwenye Sheria mbovu mbovu.