Taarifa ya serikali kuhusu uingizwaji wa mifugo nchini Tanzania

Achana na maboya hayo.
 
Muongo mkubwa na mzandiki wewe, mtu anayeishi Kigoma au Mtwara anaendaje Kenya kufanya ujasiriamali? Sema wewe upo Jirani nao ndiyo maana unaumia. Sheria lazima ifuatwe Tanzania sio kichaka cha mahalifu. Plz.
 
Kigoma anafaidika na mpaka Burundi na Congo na Mtwara mpaka wa Musumbiji. Nafikiria wewe ni muuza kahawa ndo maana hujui maana ya ujirani na mipaka
 
Inferiority complex ,wakati Africa nzima wanawaheshimu watz ndo mana wanaitwa wabongo bcz of using positive mind in every opportunity.
 
Inferiority complex ,wakati Africa nzima wanawaheshimu watz ndo mana wanaitwa wabongo bcz of using positive mind in every opportunity.
Africa ipi inayowaheshimu watanzania?, Tanzania kama inchi inaheshimika sana kutokana na mwalimu Nyerere, hasa kutokana na mchango wako wa ukombozi wa bara la Afrika na kutetea haki za wanyonge duniani, hilo jina la bongo tulijipa wenyewe, nani analijua zaidi ya nchi chache jirani?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…