Taarifa ya tahadhari na ya haraka kwà RTO wa Morogoro

Taarifa ya tahadhari na ya haraka kwà RTO wa Morogoro

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira.

Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka chek point msamvu na kingolwira hao watakaokuwa witnesses watalipwa elfu 20 na mshindi atalipwa laki.
 
Bodaboda wa Morogoro Wana mtindo huu wengine waliwekeana dau la kukatiza mataa ya pale Police post bila kusimama. Ilikuwa hivi unatoka kichangani at a maximum speed halafu ukifika mataa husimami unapita kwà speed kali kuliko pale mataa !! Yani ni kamali ya kutumia pikipiki! Matokeo yake walikufa pale mataa! Mlioko Morogoro mjini mnaweza kukanusha hii taarifa au kuithibitisha.
 
Halafu DTO wa pale Morogoro ni Mtu safi sana awapige Warning wakijifanya vichwa maji awanyang'anye leseni.
 
Boda boda wa morogoro Wana mtindo huu wengine waliwekeana dau la kukatiza mataa ya pale police post bila kusimama. Ilikuwa hivi unatoka kichangani at a maximum speed halafu ukifika mataa husimami unapita kwà speed kali kuliko pale mataa !! Yani ni kamali ya kutumia pikipiki! Matokeo yake walikufa pale mataa! Mlioko Morogoro mjini mnaweza kukanusha hii taarifa au kuithibitisha.
Masikini!!!

Ugumu wa maisha unafanya watu wasizithamini afya zao wasilaumiwe siyo kosa lao ni maisha!
 
Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira.

Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka chek point msamvu na kingolwira hao watakaokuwa witnesses watalipwa elfu 20 na mshindi atalipwa laki.

Duuh pesa inayowafanya waweke roho zao bond ni pesa ndogo mno ambayo hata wakifa haipeleki watoto wao shule wala kulisha familia wiki moja
 
Nilishaachwa na gari ya mkoani hapo,nikampa dereva boda 10,tukaikimbiza,nilipokaa kwenye siti yangu ndo nikaanza kuvuta picha boxer ilivokua inakimbia mpaka inavibrate,kwakweli niliogopa saana na Kumshukuru Mungu.
 
Mtwara walikuwa wanashindana kukimbiza usiku Huku umezima taa
 
Back
Top Bottom