Masikini!!!Boda boda wa morogoro Wana mtindo huu wengine waliwekeana dau la kukatiza mataa ya pale police post bila kusimama. Ilikuwa hivi unatoka kichangani at a maximum speed halafu ukifika mataa husimami unapita kwà speed kali kuliko pale mataa !! Yani ni kamali ya kutumia pikipiki! Matokeo yake walikufa pale mataa! Mlioko Morogoro mjini mnaweza kukanusha hii taarifa au kuithibitisha.
Kuna boda boda wanapanga kufanya mashindano na wamewekeana dau la laki moja. Ishu iko hivi wamepanga kukimbia bila kufunga break at a maximum speed a motorbike may afford kituo cha kuanzia kiko daraja la Msamvu na mwisho ni Kingolwira.
Atakaewahi kufika na kugeuka atapata laki moja na wameweka chek point msamvu na kingolwira hao watakaokuwa witnesses watalipwa elfu 20 na mshindi atalipwa laki.
Wapigwe semina za vikoba.Masikini!!!
Ugumu wa maisha unafanya watu wasizithamini afya zao wasilaumiwe siyo kosa lao ni maisha!