huyu mtu anayeitwa mwakyembe anarudisha sana nyuma maendeleo kwa kutafuta cheap popularity
kamsimamisha port manager dsm!ata meli zimegoma kuja tz sababu jamaa alitumia influence yake as manager kuleta meli nyingi sana hapa port,sasa meli haziji kama kuna mtu anabisha hebu kama upo dar city centre angalia sasa hivi hapo bandarini kama kuna meli za makontena na magari wengi wanatumia za jirani!
mr mwakyembe alitumia political influence yake kushinikiza serikali kuvunja mkataba na dowans serikali ikalipa 94 billion
sasa analeta reli ambayo inaendeshwa kwa hasara nauli iliotakiwa kuwa sh 700,yeye kapendekeza sh 400 hizi gharama nyingine sijui anafikiri nani atalipa
bodi ya bandari aliyo pendekeza kajaza watu wake tu wasio na sifa za kutosha,civil activist aliowachagua hawawezi kuendesha bandari
kamuondo dg wa atcl shirika ndo linazidi didimi kila siku
alafu watz wakishiba ugali wanakaa vijiweni na kumsifu ni jembe wakati ni janga kwa uchumi wa tanzania