Taarifa ya ujenzi wa reli ya SGR

Taarifa ya ujenzi wa reli ya SGR

Trump2

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
1,553
Reaction score
2,609
Serikali ya awamu tano kupitia kauli mbiu yake ya "Hapa kazi tu" inaendelea ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo ya reli, viwanja vya ndege na maji.

Hii ni taarifa fupi ya Shirika la Reli Tanzania TRC kuhusiana Ujenzi wa Reli ya kisasa ya Standard Standard Gauge.

 
Ya May ndo tunayoisubiri make hii ya January ilishazeeka sasa
 
Back
Top Bottom