Taarifa ya uzinduzi wa vifurushi vya bima ya afya

Sawa, ila tunataka tujue kama bei za hivyo vifurushi zinawezekana kujiunga
 
Wizara ya Afya hapa mnacheza na uhai wa watu
Retiree seniors atapata wapi laki sita ya kulipia bima?
Nyie tutieni vitanzi
Kaeni na Bima yenu uchwara
Mradi wa mtu fulani
Pesa za kununua ndege mngewekeza kwenye afya
Kibaya zaidi wenye bima wanapewa huduma za ovyo kabisa
 
Vifurushi vya bei hivi hapa
 

Attachments

  • IMG-20191126-WA0004.jpg
    44 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…