Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona hapa nchini

Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona hapa nchini

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Pitia hii ni muhimu.

USSR
IMG-20200128-WA0019.jpeg
IMG-20200128-WA0020.jpeg
IMG-20200128-WA0021.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutokana na muingiliano mkubwa uliopo Ni dhahiri kwamba Kuna uwezekano pia na Tanzania ikakumbwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Swali hili nmejiuliza hasa kutokana na maswahibu yanayowakuta ndugu zetu huko China. Nimeshanga pia kwa nchi Kama China kufikia stage ya know watu kupanga foleni kununua face mask na disinfectants. Je, yakitukuta tutajiweza?
 
Inafikirisha sana
Kutokana na muingiliano mkubwa uliopo Ni dhahiri kwamba Kuna uwezekano pia na Tanzania ikakumbwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Swali hili nmejiuliza hasa kutokana na maswahibu yanayowakuta ndugu zetu huko China. Nimeshanga pia kwa nchi Kama China kufikia stage ya know watu kupanga foleni kununua face mask na disinfectants. Je yakitukuta tutajiweza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aepushie mbali, ikija kwetu sisi tutapukutika kama kuku wa mdondo.
 
Back
Top Bottom