Taarifa ya Wizara ya Afya kuhusu ugonjwa wa virusi vya Corona hapa nchini

Kutokana na muingiliano mkubwa uliopo Ni dhahiri kwamba Kuna uwezekano pia na Tanzania ikakumbwa na maambukizi ya virusi vya Corona. Swali hili nmejiuliza hasa kutokana na maswahibu yanayowakuta ndugu zetu huko China. Nimeshanga pia kwa nchi Kama China kufikia stage ya know watu kupanga foleni kununua face mask na disinfectants. Je, yakitukuta tutajiweza?
 
Inafikirisha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu aepushie mbali, ikija kwetu sisi tutapukutika kama kuku wa mdondo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…