Taarifa ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi maalum kwa Jamii Kuzingatia Sheria ya Mtoto kudhibiti Mmomonyoko wa Maadili

Mkuu umezinduka tokea wapi?
Huyu Mama ndiye waziri pekee anayetoa updates na yupo humu kuwasikiliza watu kwa ID yake halisi.

Wengine wote wamejificha kwenye IDs fake.

Unataka afanyeje kazi?
Nimeingia kwenye hii thread leo naona nimeshambuliwa haswa kwa comment yangu ya awali. Sawa, nakubali matokeo. Hongera mama Waziri wetu kwa kazi nzuri. Nimefuatilia threads zingine za huko nyuma nimeona kweli uko active na very engaging. Big up. Kazi iendelee. Tunaunga juhudi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…