mbishi wa ukweli
New Member
- Feb 9, 2013
- 2
- 0
kama una vithibisho post tufurahi pamoja basi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kutoka elf 5 had 7500 kulikuwa na utata et leo ifike elf 10 alafu bila maandamano kwl
Kadri inavyoongezeka ndo inazidi kuwa mbaya kwa wewe mkopaji
sitakaa kusahau nilipoondolewa mlimani nikipigania kupanda kwa hili bumu....sasa hivi madogo wanafurahi kupata 7500 kumbe kuna watu tulijitoa kwa hilo...
sitakaa kusahau nilipoondolewa mlimani nikipigania kupanda kwa hili bumu....sasa hivi madogo wanafurahi kupata 7500 kumbe kuna watu tulijitoa kwa hilo...
kwa tarehe uliyojiunga humu ndani napata shida kuamini wewe ni yule unayeclaim kuwa.......sitakaa kusahau nilipoondolewa mlimani nikipigania kupanda kwa hili bumu....sasa hivi madogo wanafurahi kupata 7500 kumbe kuna watu tulijitoa kwa hilo...
unadhani ni sifa kutokugoma????......au mawazo yenu yamefungwa na ile mentality kwamba Mzumbe huwa hawagomi so hata kama mnakuwa treated vibaya mnapiga kimya coz kugoma kwenu mwiko???haaaahaaa cc wa mzumbe wala hatuna shida nyie mnajifanya mna njaa kali zaidi mnaondolewa wakti cc wla mgomo hatuujui tunauckia tuu