Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Unamtukana first born? Atakulaani shauri yakoWe ni taila Nini TAARIFA Gani Sasa?
Hiki ni kikao cha Bunge cha Kumi na Tatu,Mwezi August, lakini Hansard ya mwisho katika mtandao ni ya June.
Siyo Bunge tu.
Mahakama pia. Haiwezekani ku download kitu chochote kwenye website ya Mahakama
Kikweli Kaka Mkubwa, ninakupenda kwa jinsi ulivyo makini kwenye ufuatiliaji.Hiki ni kikao cha Bunge cha Kumi na Tatu,Mwezi August, lakini Hansard ya mwisho katika mtandao ni ya June.
Siyo Bunge tu.
Mahakama pia. Haiwezekani ku download kitu chochote kwenye website ya Mahakama
Taila! Duh.We ni taila Nini TAARIFA Gani Sasa?
Sio vizuri mkuu.We ni taila Nini TAARIFA Gani Sasa?