Taarifa za JKT kutoa barua zina ukweli wowote ?

Joined
Jul 16, 2014
Posts
27
Reaction score
4
TAARIFA MUHIMU KWA VIJANA WALIOMALIZA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014

"Makamu mkuu wa jesh la kujenga taifa, anapenda kuwatangazia vijana wote waliomaliza kidato cha sita 2014 wale wote waliopangwa jeshi awamu ya pili, wafike kambi walizopangwa na kuchukua barua za kambi husika.

Barua hizo ndio zitakazotumika kuingilia chuo. Mwisho wa kuchukua barua hizo ni tarehe 30 septemba. Ukipata ujumbe huu mwambie na mwenzako.
Mimi binafsi nimetumiwa ujumbe huu na namba nisiyo ijua kabisa . Ningependa kujua kwan yaweza kua kweli
 
Upuuzi mwengne mue mnautafakali kwa research za kutosha sio unamwaga wino hovyo hadharani aah..
 
Hamna kitu kama hicho taarifa hizo ni za uwongo wangepost in their website
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…