Taarifa za kuaminika kutoka jeshini kwa form six 2013

spleen

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2013
Posts
4,079
Reaction score
6,788
Yah husika na kichwa cha habari hapo juu,hizi ni taarifa za uhakika kabisa kutoka jikoni makao makuu JKT,waweza ingia hii link ujionee mwenyeweJeshi la Kujenga Taifa
 
Ni kweli mkuu nami nimeona tangazo hapa ITV maadam sisi 2012 ni vijana wa bahati hope mwaka wetu itafutwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…