Taarifa za michezo

Taarifa za michezo

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
685
Tunawaomba wanamichezo mtuwekee habari za michezo kila siku.tujuze kuhusu usajili na mambo mengine mengi ya michezo tafadhali.ususan football.
 
08/01/2015 mapinduzi cup..

FT: Yanga 0 JKU 1.
 
18.12.2014, Yanga walichezea 2-0 mechi ya mtani jembe. Kipigo kilichosababu kumpa talaka kocha aliyepokelewa kwa hoi hoi nderemo na vifijo miezi michache kabla Mr. Marcio Meximo.
 
18.12.2014, Yanga walichezea 2-0 mechi ya mtani jembe. Kipigo kilichosababu kumpa talaka kocha aliyepokelewa kwa hoi hoi nderemo na vifijo miezi michache kabla Mr. Marcio Meximo.

Mkuu hicho kipigo kilikuwa ni tarehe 13/12/2014. Na tarehe 18/12/2014 ndiyo siku maximo alitimuliwa Yanga.
 
Tarehe 08/12/2014..
Yanga walimsajili "babu" Mrwanda kwa mkataba wa mwaka 1 toka Polisi Moro.
Mpaka sasa amecheza mechi 5 hajafunga goli hata 1.
 
Back
Top Bottom