Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

Nmb ukichukua 6ml unalipa jumla ml. 9.4. yaan unawalipa 3.4ml kama faida yao. hii ni kwa miaka 5. Na kwa mtu mwenye kukatwa 150,000 kwa mwez. Na kama kipato chako n sh. 250,000. unaweza kukopeshwa had 5ml. Kanzia miaka 3-5. Ila wnakata 18-20%.
 
Habarini wanajamii forum
Mimi ni kijana ninayetaka kujiajiri kwenye kilimo na ufugaji. Ninaomba mnipe taarifa za mahali ninakoweza kupata shamba, na bei zake kwa heka. Ila kuwe na uhakika wa maji kama vile mto ama bwawa maana ninataka kufanya kilimo cha umwagiliaji. Mwenye taarifa sahihi unaweza kuwasiliana nami kwa namba 0655-535593
 
Kwa vile haujachagua mahali na aina kilimo unachotaka basi hata ruvu masha yanapatikana
 
nadhani benki nyingi sana zimepunguza riba
 
hivi ziko bank zinazooa mikopo bila kueka dhamana?
nataka nikope kwa kutumia mshahara wangu,ni benki nzuri ipi nikope?
 
TIB BANK Mbeya iko mtaa gani? Baada ya kusoma hapa ninehisi wanaweza kuwa msaada hasa kwa sisi wenye vipato vidogo na miradi midogo
 
NMB naskia riba yao ndio imeshoot mpaka karibu 40% ya principle amount kwa 5 years. Hii kanambia staff mate hapa kazini kwetu

Tarehe 26/08/2015 nitawaletea riba za nmb, kwa mikopo ya biashara na ya watumishi
 
EFTa Hawa wako ARUSHA .Mwanza na Dar hutoa mashine.Au vitendea kazi sio pesa kuanzia 20m na kuendelea
 
Samahani naomba kuuliza estate business/real estate ni biashara ya aina gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…