OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Utopolo mgeuza uzi umekuwa mipasho kama taarabuKolo fc wamezoea kupora wachezaji na sio kuvunja mikataba ya wachezaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utopolo mgeuza uzi umekuwa mipasho kama taarabuKolo fc wamezoea kupora wachezaji na sio kuvunja mikataba ya wachezaji
TP Mazembe ndio angecheza?Alipokataa dili la kwenda mazembe na kukimbilia simba.
Nilijua kabisa Uyu dogo Hana Akili Kama yule Kaka yake mrisho ngasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani Ajibu alitakiwa na TP Mazembe mwaka gani?Kwani angecheza Mazembe milele.kwa miaka ile ilikua ni nafasi kubwa ya ajibu kwenda mbali kimataifa.Maana mafanikio ambayo simba waneyapata miaka ya karibuni Tp mazembe walishayapita uko nyuma kipindi icho huyo ajibu akiwa kwenye fomu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ni Afisa habari
Waulize biashara umuhimu wa private jetWewe unafikiri wanakurupuka tu kama wewe unavyoropoka?? Kwaakili yako ndege ya klabu inaingizaje mapato??kama sio kutia hasara tu kutokana mantainance,mafuta,,parking n.k Ndege sio ujanja ata team kubwa duniani hazina ndenge wewe ndo ujitoa fahamu ukanunue kwa faida zipi hasa???enewei ni akili za Utoponga sio makosa yako
Simba bhana! Badala ya kufanya usajili wa wachezaji muhimu ili kuimarisha kikosi chenu dhaifu, mko busy kusajili Afisa Habari! [emoji848] Vipi Watani kulikoni? Sababu ni GSM tena? Au ndiyo kusema mna kikosi kipana!! [emoji3062] Au Moo anazingua kuachia hela?
Mpaka sasa Wananchi wamesha wasajili wachezaji watatu muhimu na wenye viwango vya juu, wa ndani! Na bado zoezi linaendelea! Huku tukiwa pia tuna nafasi ya kusajili wachezaji wa nje wasio pungua wawili kabla ya hili dirisha dogo la usajili kufungwa.
Bora useme captain joni
Banda
Mugalu
Nyoni
Bocco
Gadiel
Wawa
Hawa wote wanatakiwa kuondoka
Mkuu kwani dirisha la usajili linafungwa lini? Acha papara mkuu muda bado.Simba bhana! Badala ya kufanya usajili wa wachezaji muhimu ili kuimarisha kikosi chenu dhaifu, mko busy kusajili Afisa Habari! [emoji848] Vipi Watani kulikoni? Sababu ni GSM tena? Au ndiyo kusema mna kikosi kipana!! [emoji3062] Au Moo anazingua kuachia hela?
Mpaka sasa Wananchi wamesha wasajili wachezaji watatu muhimu na wenye viwango vya juu, wa ndani! Na bado zoezi linaendelea! Huku tukiwa pia tuna nafasi ya kusajili wachezaji wa nje wasio pungua wawili kabla ya hili dirisha dogo la usajili kufungwa.
Simba sijui tunakwama wapi!?
mkuu tuliza ballSimba sijui tunakwama wapi!?
Chama nae hayo mabegi yote kajaza mafaili ya kuwapoteza wenzie uwanjani.