#COVID19 Taarifa za waliolazwa na wanaofariki kwa corona ziwe wazi kama wamechanja au hawajachanja

#COVID19 Taarifa za waliolazwa na wanaofariki kwa corona ziwe wazi kama wamechanja au hawajachanja

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,938
Reaction score
6,942
Kwa takwimu hizi za corona, naishauri serikali iweke kumbukukumbu sawa. Ianze kutoa taarifa za:-

1. Waliochanja
2. Waliolazwa na kama wamechanja au hawajachanja.
3. Waliofariki ieleweke wazi kama wamechanja au hawajachanja.

Iwapo jamii itaona waliochanja hawapo hospitalini kwa corona, watachanja bila kutumia ushawishi maana wataelewa umuhimu wa kuchanja.

Iwapo jamii itatambua kuwa vifo vingi vinavyotokea ni kwa watu ambao hawajachanja, hakuna atakayetumia nguvu tena kuhamasisha uchanjanji, watu watazitafta wenyewe na hata kulipia maana uhai hauna mbadala.

Usiri wa taarifa za chanjo, unaathiri zoezi la uchanjaji.

Screenshot_20210928-081042.jpg
Screenshot_20210928-080148.jpg
 
Tanzania nchi yangu. Haya ya corona tungeachana nayo tu. Hatuyawezi
 
Tukubaliane kimoja....

Ugonjwa ni siri ya mgonjwa na daktari wake
 
Back
Top Bottom