Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 704
- 1,331
Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa.
Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi kuzitumia vibaya?
Yaani ni wanatukana matusi na dharau wanadhani ukikopa huna akili, maskini hopeless kana kwamba wewe ni uchafu tu.
Yaani sijui wanasomea kutukana.? Baada ya kumalkzana nao. Nika uninstall app yao. Sitaki hata kuwasikia.
Je, hawaweza kunikopea wakanifanya bwege na kuanza wizi kwa taarifa zangu?

yaani nimekuwa mbwa ?