Mtu anayekopa kwenye hizi app za mikopo ni useless hopeless kiufupi unastahili kutuka wa ilu urejeshe hela yao.... unakuta mtu anakopa afarobaini sasa shuka 4 za mmasai zinakufanya utukanwe alafu bado ulipe kwa riba kubwa mhh kazi mnayo.Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa.
Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi kuzitumia vibaya...
Screenshot SMS zao za kukera tuone mkuu. BTW Pole kwa kadhiaUshauri kama hujawahi kufanya mkopo kwao. Don't ever try ni wezi na nahisi sio watanzania au wameajiri watanzania wenzetu na kuwapa mbinu ya kumchefua mtu ili akereke. Nimewalipa kwa sabab ya kero yao wala sio kukacha.
Kama sio wanigeria au somewhere huko west ni mashaka. Mtanzania ni mtu mstaarabu sana. Nahisi hizi mbinu ni za kigeni
Hiyo kutukana ni defensive mechanism kuweka mazingira ya uwoga. Ikija issue ya hela hamna kucheka cheka na huruma. Binadamu ni hatarii sana ukimkopesha ifikie hatua ya kurudisha. Kuna mmoja nilimkopesha kumdai ananiambia sina kama unataka niue tena kwa madharau.Hawa wakopeshaji hutakuja kukutana nao ana kwa ana. Nilikopa kwa shida na nikajutia kukopeshwa.
Swali langu je kwa kuwa wanataarifa zangu kama nakala katika picha yangu na Nida yangu je hawawezi kuzitumia vibaya...
Haina shida asante mkuu tufanyeni kazi tuuBTW Pole kwa kadhia
Screenshot SMS zao za kukera tuone mkuu. BTW Pole kwa kadhia
Hii kitu dear haimaanishi mtu unashida ama huna. Kuna wakati unafanya uone kibaya ninpale wanapoanza kudai simu kila saaSina mawazo mpenzi! Muhimu umewalipa
Na mimi sitokuja kukopa humo, najifunza kutokana na malalamiko yenu
Siyo useless mkuu. Unakuta emergency inatokea. Zinasaidiaga sana kwenye dharura. Ila inabidi tu ujinyime ulipe.mtu anayekopa kwenye hizi app za mikopo ni useless hopeless kiufupi unastahili kutuka wa ilu urejeshe hela yao.... unakuta mtu anakopa afarobaini sasa shuka 4 za mmasai zinakufanya utukanwe alafu bado ulipe kwa riba kubwa mhh kazi mnayo.... ..
mleta mada hao unawakopa ukiwa na shida gani labda na siku zote watu wanalalamika majamaa sio ila bado unakopa
Kwanini urudishe wakati wewe hujakopa kwa jina la mbwa?Huwa nazifuta maana zinatia hasira.
Yaani hunijui unatukana.
Wanasema ulikuwa na shida zako umekopa hela za watu rudisha mbwa weweyaani nimekuwa mbwa ?
Umeshiba maziwa ya kuchacha, sasa unaanza kuchafua hali ya hewa mbwa weweHaina shida asante mkuu tufanyeni kazi tuu
Maisha mafupi sana haya kwanini tukerane mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimecheka kwa sauti kubwa mkuu hadi walio pembeni yangu wamebaki kushangaa.
Its good to be happy.