Hayo sio maneno tu ya msanii Alikiba bali ameyanukuu kutoka kwa Wanachama, Wapenzi, Mashabiki na Wadau mbalimbali wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba CCM ni namba moja daima, wapinzane wakae wajue hilo, waache kujisahaulisha.
Huu ni umati wa wananchi wa Mkoa wa Songwe waliojotokeza leo tarehe 3 Septemba 2025 wakionesha hadharani mapenzi yao ya kweli kwa mgombea wao wa Urais kupitia tiketi ya CCM Rais Dkt. ๐ฆ๐ฎ๐บ๐ถ๐ฎ ๐ฆ๐๐น๐๐ต๐ ๐๐ฎ๐๐๐ฎ๐ป.
Kwa hakika katika hili Songwe mmemeheshimisha mgombea wa Taifa.
sasa huyu anashindana na nani jamani
kwanza hata kufuata mchakato tu kwenye chama chake kashindwa
poli ccm wa kwake
tume kareua yeye
maafisa uchaguzi wa kwake
BADO ANAMWEKA NDANI MPINZANI WAKE
Af wajinga kama huyu wanashangilia