Taarifa

Taarifa

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Labda ilishatolewa, ila naomba kuwakilisha:
Baada ya kupita hoja ya kutoka analojia kwenda digitali..imekuwa ikisemwa vinunuliwe 'ving'amuzi'. Sasa kwa maana halisi 'ving'amuzi' ni 'detector', ila 'decorder' kiswahili sanifu ni KISIMBUZI na sio KING'AMUZI.

Nawakilisha.
.
 
Back
Top Bottom