Taaruma ninayo nimekosa fulsa naombeni msaada

mtendakazi

Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
26
Reaction score
7
kutokana na mgomo wa ma daktari nchini na uhamuzi wa serikari kusitisha leseni za madaktari wapatao takribani 300 na baadhi yao wameanza kuondoka nchini ili kutafuta mahala wanakosamini taaruma hii mwenzeni naomba mtu atakayensaidia kupata fulsa hapa nchini katka kazi isiyo ya utabibu lakni taaruma yangu inaweza kufiti, plz wanajamvii nsaidieni coz naipenda nchi yangu japo viongozi wake ni vipofu
 
kaka hebu rudi kwanza edit hizo r na l umeinterchange position na kunifanya nivunjike mbavu
 
iweke post yako vzr kaka ili ieleweke kwanza, hope utapata msaada.
all the best
 
taaruma????????????/
fulsa????????????????? mimi siyaelewi haya maneneo ni ya kiswahili au kikurya

fafanua ndugu
 
You cant be serious nigger!
 
nyie vp,badala ya kumsaidia mnaleta mbwembwe,yule aliyemkosoa mwanzo c ameeleweka nyie wngn kuna umuhm san wa kujifanya mnajua matumiz ya heruf...kama hamna ya kuchangia c mpite tu,wabongo bhana makungu tu kat mwenzenu yupo serious
 
Hahahahhahahahahahahhahhhh!!!! nimecheka hadi mbavu zinauma,,, una taaluma gani ndugu kiswahili kinakupa shida hivi!!!
 
pole sana mdau,but worry not ipo siku tu utaipata ongeza juhudi na uvumilivu
 
Nimepita hapa kuhakikisha kama ni kweli na usomi wako huu, kiswahili kimechakaa hivyo.
 
sijakuelewa vile ... unachangamkia nafasi za akina ulimboka .... ??????? anyway kila la kheri , ingawa najiuliza kama upo tayari kufanya kazi kwenye mazingira ambayo wenzio wamegoma ????
 
haupo siriaz wewe hata kama we mkurya hii imezidi nyie ndo walee mnaosoma halafu mnatoka maempty minded, we umeshindwa hata kujieleza hapa unajua kipi sasa? wakati unatafta msaada halafu huwezi kujieleza eti daktari wa wapi sasa weweee?
 

Sipati picha ukiandika english itakuwaje...............
 

Attachments

  • LIFE.jpg
    19.2 KB · Views: 43

Kwa kuwa una taaruma huwezi kupata fursa,ungekuwa na Taaluma,ungefanikiwa
 

Kwa kuwa una taaruma huwezi kupata fulsa,ungekuwa na Taaluma,ungefanikiwa kupata fursa!!
 
nyie vp,badala ya kumsaidia mnaleta mbwembwe,yule aliyemkosoa mwanzo c ameeleweka nyie wngn kuna umuhm san wa kujifanya mnajua matumiz ya heruf...kama hamna ya kuchangia c mpite tu,wabongo bhana MAKUNGU tu kat mwenzenu yupo serious

makungu? Ndo nini? Acha apewe somo, atajiitaje msomi anaetafuta fursa wakati kiswahili tu kinamletea ukungukungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…