Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Aliyekuwa mfanyakazi wa CIA Bwana Andrew Bustamente alielezea kwenye Podcast kwamba Taasisi kali kuliko zote za kiintelijensia na kijasusi kwa pande tofauti ni kama zifatavyo;
MMS( Ministry of State Security) China🇨🇳; Alisema kwa ushindi wa Ufikiaji au Reach ya watu duniani taasisi hii ya China inashinda kwa kuwa serikali hiyo ya China imedumbukiza utamaduni wake kwa kila mchina na intelijensia kiasi cha kwamba Mchina popote alipo duniani anajiona bado Mchina na ivyo serikali inakuwa rahisi kubeba habari zozote na pia China ni nchi ya kidikteta ivyo kupeleleza habari zote za wananchi wake bilioni 1.4 ni rahisi sana na sio km Marekani au Ulaya ivyo apps zote za China na zingine haziruhusiwi, nyumba zote na watu wote wapo kw reach ya serikali iyo.
CIA ( Central Intelligence Agency) USA;🇺🇸 Shirika hili ambalo aliokuwa anafanya kazi amesema linashinda duniani kote kwa Teknolojia, ufunzi wa wapelelezi na taasisi au shirika lolote duniani linalitamani sana CIA au kushirikiana nao na pia CIA au Marekani ni nyumbani kwa watu wa aina yote duniani kwanzia wazungu, waafrika, waarabu, wahindi, wachina, wajapani, walatino, mwachotara wa aina yoyote na lugha kibao tofauti zinazungumzwa ivyo ni rahisi kuwatuma nchi yoyote na wakiongea lugha iyi bila kudhani mgeni kuliko China ambao wote wachina na sio rahisi kuwatuma DRC au India kuiba habari na pia uwazi wa Marekani au Ulaya kw lifestyles tofauti km ushoga etc sio rahisi wananchi wao au wanasiasa kuwa blackmailed kuliko wanasiasa wa mataifa ambayo ushoga bado stigma kubwa na rahisi kuwa blackmail.
DGSE ( Directorate General for External Security) France🇫🇷; anadai shirika hili ingawa sio maarufu duniani kama CIA au former KGB ya Russia hawa watu wanaongoza kwenye wizi wa habari na sabotage yaani wanatisha hamna anayowaweza na wameiba information nyingi sana kutoka Mashirika mbali mbali iwe Marekani, China au Ulaya pamoja na makampuni makubwa duniani.
MOSSAD; Israel🇮🇱; anadai wanaoongoza kwenye kupoteza maadui wake fasta na kuwafuata popote ni hawa jamaa pamoja na ukatili wa aina yoyote tu kwa sababu Israel ni nchi ndogo na watu wake wamepitia mengi sana pamoja na Genocide ivyo wao hata mtu wao mmoja akitekwa wataenda kumfuata popote kumuokoa na kuua yoyote na sehemu yoyote iwe Mecca au Mt. Kilimanjaro. China au USA wanawaachaga wapelelezi wao jela uko wakikamatwa na maadui km China au Russia au North Korea; ila Israel itaenda popote na kuua yoyote kuokoa watu wake au kulinda nchi yao. Cheza na shirika lolote ila sio MOSSAD😝😝😝
Nimeshangaa Russia haijatajwa kabisa which means Russia KGB ambayo sasa ni FSB and SVR lol🇷🇺
Nyie mnaonaje wanajamii???