Taasisi gani ipo vizuri katika masuala ya "Project management"?

Taasisi gani ipo vizuri katika masuala ya "Project management"?

Nyani Mzee Snr

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2021
Posts
12,122
Reaction score
42,743
Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. anisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja ambayo ina wabobezi na hayo mambo
 
Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. abisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja
Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuu
 
Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuu
Sijaja kujifundisha muandiko au kuandika ili nikupendezeshe. Kama haujaelewa au huna msaada pita kushoto.
 
Back
Top Bottom