Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,743 May 24, 2021 #1 Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. anisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja ambayo ina wabobezi na hayo mambo
Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. anisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja ambayo ina wabobezi na hayo mambo
beny jr JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 849 Reaction score 1,168 May 24, 2021 #2 Holy Man said: Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. abisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja Click to expand... Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuu
Holy Man said: Nataka kufanya course ya hiyo kitu hapo juu, mwenye uzoefu na ujuzi wa hiyo kitu. abisaidie kujua taasisi gani nzuri sana kwenye hiyo nyanja Click to expand... Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuu
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,743 May 24, 2021 Thread starter #3 beny jr said: Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuu Click to expand... Sijaja kujifundisha muandiko au kuandika ili nikupendezeshe. Kama haujaelewa au huna msaada pita kushoto.
beny jr said: Ukijifunza kuandika vizuri wataalamu watavutiwa na uzi wako na kuja kuchangia futa then andika upya.. nakurudia mkuu Click to expand... Sijaja kujifundisha muandiko au kuandika ili nikupendezeshe. Kama haujaelewa au huna msaada pita kushoto.
beny jr JF-Expert Member Joined Jul 15, 2018 Posts 849 Reaction score 1,168 May 24, 2021 #4 Holy Man said: Sijaja kujifundisha muandiko au kuandika ili nikupendezeshe. Kama haujaelewa au huna msaada pita kushoto. Click to expand... Ndio maana hujapata msaada ila ukiandika vizuri watakuja
Holy Man said: Sijaja kujifundisha muandiko au kuandika ili nikupendezeshe. Kama haujaelewa au huna msaada pita kushoto. Click to expand... Ndio maana hujapata msaada ila ukiandika vizuri watakuja
Nyani Mzee Snr JF-Expert Member Joined Feb 4, 2021 Posts 12,122 Reaction score 42,743 May 25, 2021 Thread starter #5 beny jr said: Ndio maana hujapata msaada ila ukiandika vizuri watakuja Click to expand... Una utoto mwingi, niliuza kupata ziada Sio lazima sana kupata msaada pia
beny jr said: Ndio maana hujapata msaada ila ukiandika vizuri watakuja Click to expand... Una utoto mwingi, niliuza kupata ziada Sio lazima sana kupata msaada pia