Taasisi ya Benjamin William Mkapa imeandaa mdahalo kuhusu Maisha ya Rais Mkapa

Rais atawala miaka sita ila kawaiku wote waliotawala kumi kumi

ni kweli kawapiku.
aliwapiku kwenye idadi kubwa ya watu waliopotea na kuuwawa katika mazingira tatanishi.

aliwapiku kwa kufungia vyombo habari vilivyokuwa vinaandika habari za kumkosoa.

aliwapiku kwenye kuwanyanyasa viongozi wa vyama vya upinzani na kuwafungulia kesi za zisizo na kichwa wala miguu.

aliwapiku kwa kuunda task force iliyojikita katika ujangili wa kuwapora fedha baadhi ya wafanyabiashara na kuwafilisi.

aliwapiku kwenye ku-create vijana wawili makatili ambao ni makonda na sabaya.
 
Amsha Amsha za Magufuli zimeacha alama kubwa sana kwa watanzania.

Watanzania wamefahamu Sasa thamani ya Rasilimali zao pamoja na haki zao muhimu.

Pia wamejifunza uwajibikaji wa Kila mtu katika nafasi yake.

Kwa sasa sio rahisi Tena kudanganya wananchi wakakuelewa.
 
Wewe na iyo sexless yako unakumbuka nini kwa mkapa kuzidi Magufuli,Rais atawala miaka sita ila kawaiku wote waliotawala kumi kumi
Mbona unalazim8sha kawapiku kama kafanya sisi tutaona usilazimishe tuone
 
Kwenye neno kipenzi weka JAMBAZI.
Suala la uhakika kwamba jambazi jiwe aliteka Tanzania inajua na dunia inajua.

Antony Diallo kaongezea kwamba tulichagua mtu mwenye faili Milembe. Upo?
Baada ya kubanwa kulipa kodi ndo anajua kuwa rais alikuwa chizi,huo ni unafiki.hauwezi ukawatenganisha watanzania wazalendo na mapenzi ya kweli na jpm so huyu ni kipenzi chetu.
 
Mtu anajiita sexless[emoji16][emoji16][emoji16]

Halafu anajaribu kujenga hoja kuhusu magufuli aliyewazingua mashoga mpaka wakapoteana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…