Taasisi ya fedha inayotoa mkopo kwa ajili ya biashara

Taasisi ya fedha inayotoa mkopo kwa ajili ya biashara

lidoto

New Member
Joined
Jun 22, 2024
Posts
2
Reaction score
0
Habari wakuu, naomba kujua bank gani, au taasisi gani inayokopesha kwa vigezo ambavyo sio vigumu sana, ikiwemo riba kubwa, usumbufu n.k

NB: nina biashara tayari ya 18M
 
Ungekua umewekeza UTT ingekua rahisi kupata dhamana ya kukopeshwa na Bank NMB au CRDB,
 
Back
Top Bottom