Hahaha hapo utahitaji banki inayotoa riba ya 120% ambayo kwa hiyo 1,000,000 ina maana ni 1,200,000 sasa kwa sababu riba ni kwa mwaka wanagawanya hiyo 1,200,000 kwa miezi 12 ndo ije hiyo laki moja yako kwa mwezi..... sasa hiyo riba ya 120% sijawahi kusikia kama ipo sehemu yoyote duniani maana watu wengi wangekuwa matajiri..