Taasisi ya Focus on Tanzania (FOTO) imesema imeridhishwa na mchakato wote wa uchaguzi kwa namna ulivyoendesha kwa mujibu wa utafiti waliofanya na kuthibitisha kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa mwaka 2024 umekuwa wa huru na haki.
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo Ndugu Walles Mayunga ambapo ameeleza kuwa uchaguzi huu umefata kanuni na taratibu za kitaifa na kimataifa licha ya kuwepo kwa malalamiko kutoka kwa baadhi ya wafuasi wa vyama vya siasa.
Amesisitiza kuwa katika kila uchaguzi kunakuwa na misingi, kanuni na taratibu ambazo zinaongoza uchaguzi huo na ambazo zinatakiwa kufatwa wakati wote wa mchakato wa uchaguzi.
Aidha amewataka vijana kote nchini kuacha kutumika vibaya na baadhi ya wanasiasa ambao kwa masilahi yao wanawatumia vijana kuingia barabarani na kuandamana wakipinga uchaguzi ambao umemalizika kuwa haukuwa wa huru na haki kitu ambacho amesema ni kinyume na sheria

Aidha amewataka vijana kote nchini kuacha kutumika vibaya na baadhi ya wanasiasa ambao kwa masilahi yao wanawatumia vijana kuingia barabarani na kuandamana wakipinga uchaguzi ambao umemalizika kuwa haukuwa wa huru na haki kitu ambacho amesema ni kinyume na sheria.

Ndio kwanza naisikia leo, hivyo vipeperushi vya CCM kwa mwavuli wa taaasisi huwa vinaibuka nyakati kama hizi kujaribu kufanya damage control ila kwa hili la uchaguzi wamefeli teknolojia imewaumbua mchana kweupe.
Video za majizi ya kura zipo za kutosha sijui wanafikiri wanadanganya watanzania waliokuwa hawana TV kwa wingi miaka hiyo wakisubiria kupata habari RTD na magazeti ya CCM.