Taasisi ya Innovation for Poverty Actions(IPA)

RUKUKU BOY

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2015
Posts
1,516
Reaction score
1,775
Hello wakuu.

Hii naomba kujuzwa Kwa anayefahamu in-details hii organization inayoitwa IPA, anipe information zake.

Maana ni organization ambayo inatangaza nafasi nyingi mno za ajira karibu Dunia nzima.

Kuna kazi niliiomba naona kimya. Sijui ni serious organization au ni hizi organization za mchongo.

Mwenye kuwajua Hawa IPA atupe info zao.

Kjuna
 
Ipo isikiizie nilishawahi fanya nao mara moja ilikuwa siku 25 kama sikosei kukusanya data mwaka 2019
 
Oo kumbe niliiomba Field Officer Wana project itakayo cover Mikoa yote. Vipi ni walipaji wazuri au magumashi
 
😆😆tahasisi ndio nini..wewe nawe unajiita msomi duuh
 
Oo kumbe niliiomba Field Officer Wana project itakayo cover Mikoa yote. Vipi ni walipaji wazuri au magumashi
Malipo kipindi nafanya ilikuwa elfu 80 kwasiku kwasababu ilikuwa siku 21 sijui kwasasa wamewekaje kama wanalipa kwa siku au mshahara kwa mwezi kama project ya muda mrefu
 
Hello wakuu.

Hii naomba kujuzwa Kwa anayefahamu in-details hii organization inayoitwa IPA, anipe information zake.

Maana ni organization ambayo inatangaza nafasi nyingi mno za ajira karibu Dunia nzima.

Kuna kazi niliiomba naona kimya. Sijui ni serious organization au ni hizi organization za mchongo.

Mwenye kuwajua Hawa IPA atupe info zao.

Kjuna
Tahasisi❌
Taasisi✅
 
Malipo kipindi nafanya ilikuwa elfu 80 kwasiku kwasababu ilikuwa siku 21 sijui kwasasa wamewekaje kama wanalipa kwa siku au mshahara kwa mwezi kama project ya muda mrefu
Qualifications??
 
Oo kumbe niliiomba Field Officer Wana project itakayo cover Mikoa yote. Vipi ni walipaji wazuri au magumashi
Kazi hujapata tayari umeshaulizia malipo mazuri. All in all ujue tu kila original ina fake yake. Hapa namaanisha kama ni kazi, basi omba kwenye website yao kwani utakuta na ''wajanja'' wengi wanaojifanya ndiyo hilo shirika kumbe ni wapigaji.
 
Kazi za toka 2021 ww unaomba juzi na unataka ujibiwe. Mzee umechanganyikiwa?
 
Back
Top Bottom