RUKUKU BOY
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,516
- 1,775
Oo kumbe niliiomba Field Officer Wana project itakayo cover Mikoa yote. Vipi ni walipaji wazuri au magumashiIpo isikiizie nilishawahi fanya nao mara moja ilikuwa siku 25 kama sikosei kukusanya data mwaka 2019
Labda hajui kiswahili ni kama Fatuma Karume [emoji16][emoji38][emoji38]tahasisi ndio nini..wewe nawe unajiita msomi duuh
Malipo kipindi nafanya ilikuwa elfu 80 kwasiku kwasababu ilikuwa siku 21 sijui kwasasa wamewekaje kama wanalipa kwa siku au mshahara kwa mwezi kama project ya muda mrefuOo kumbe niliiomba Field Officer Wana project itakayo cover Mikoa yote. Vipi ni walipaji wazuri au magumashi
Tahasisi❌Hello wakuu.
Hii naomba kujuzwa Kwa anayefahamu in-details hii organization inayoitwa IPA, anipe information zake.
Maana ni organization ambayo inatangaza nafasi nyingi mno za ajira karibu Dunia nzima.
Kuna kazi niliiomba naona kimya. Sijui ni serious organization au ni hizi organization za mchongo.
Mwenye kuwajua Hawa IPA atupe info zao.
Kjuna
Qualifications??Malipo kipindi nafanya ilikuwa elfu 80 kwasiku kwasababu ilikuwa siku 21 sijui kwasasa wamewekaje kama wanalipa kwa siku au mshahara kwa mwezi kama project ya muda mrefu
Kazi hujapata tayari umeshaulizia malipo mazuri. All in all ujue tu kila original ina fake yake. Hapa namaanisha kama ni kazi, basi omba kwenye website yao kwani utakuta na ''wajanja'' wengi wanaojifanya ndiyo hilo shirika kumbe ni wapigaji.Oo kumbe niliiomba Field Officer Wana project itakayo cover Mikoa yote. Vipi ni walipaji wazuri au magumashi
Hii taasisi inadeal na research. Mostly kazi za Data collection, watu wa Economics, statics, Business wanafanyaQualifications??
DegreeQualifications??
Lilikuwa kwenye website Yao chiefWeka tangazo na wengine waone hizo post kizuri kula na nduguzo
No hizi zilitangazwa 12/03 this yearKazi za toka 2021 ww unaomba juzi na unataka ujibiwe. Mzee umechanganyikiwa?
Nadhani alimaanisha za mwaka huuKazi za toka 2021 ww unaomba juzi na unataka ujibiwe. Mzee umechanganyikiwa?