josam
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 2,252
- 1,041
Hivi hakuna mtu wa kuanzisha chombo cha kufuatilia na kutunza matukio makubwa yanayotikisha Nchi? Chombo hiki kingetusaidia kutunza kumbukumbu na ufuatiliaji hivyo kutokusahau haraka mambo kabla ya kuona mwisho wake. Linalosemwa leo kesho likiibuka jingine hili la leo linasahaulika! Tuunde chombo cha kufuatilia matukio makubwa ya kitaifa, tunaweza kuona ni namna gani chombo hiki kijiendeshe chenyewe. Wanaharakati fanyeni utafiti juu ya kuwepo ama kutokuwepo kwa chombo hiki. Nitafafanua zaidi.